efmtanzania instagram picture

Muziki Unaongea

efmtanzania Instagram Posts

The official Instagram page of E-fm | 93.7 Dsm, Pwani, Mtwara & Tabora | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mby

 • 22.7k Medias
 • 1m Followers
 • 187 Following

Instagram Statistics of Muziki Unaongea (@efmtanzania) based on latest 18 media

Avg. Like Count - 1.9k
Favourite Check-In/s - 1

193.7Efm / 2 Times

Avg. Comment Count - 0
Top Likers - 0

Muziki Unaongea has not "Top Likers" at the moment

Tagged Users - 0

Muziki Unaongea has not "Tagged Friends" at the moment

Muziki Unaongea (@efmtanzania) Instagram Medias

Muziki Unaongea media on instagram
 • 1.7k likes ||
 • 56 comments ||
 • 4 hours ago

Kwa mara ya kwanza Rais Ali Bongo wa Gabon ameonekana hadharani ikiwa ni miezi 10 imepita toka iliporipotiwa kuwa amepata ugonjwa wa kiharusi ( Stroke ). Kwenye video anaonekana akikagua gwaride kwenye sherehe za uhuru zilizofanyika nje ya Ikulu ya Gabon kwenye mji wa Libreville. Viongozi wa upinzani nchini Gabon wamekaririwa mara kadhaa wakimtaka aachie ngazi wakihofia uwezo wake wa kuongoza taifa kutokana na hali yake. Bongo (60) amerithi kiti cha Urais kutoka kwa Baba yake Omar Bongo aliyeliongoza taifa hilo kutoka mwaka 1967 hadi 2009 alipofariki. #EDigitalUpdates 🎥 AFP

Muziki Unaongea media on instagram
 • 807 likes ||
 • 11 comments ||
 • 4 hours ago

Salamu za heri na baraka leo tunazipeleka kwenye #SportsHQ na #ESports tukisherehekea maisha ya ndugu yetu kipenzi @bintisuleimani aliyekuja duniani siku kama ya leo. #HappyBirthday Nyota wa mchezo, Mungu aendelee kuisimamia safari yako.

Muziki Unaongea media on instagram
 • 4k likes ||
 • 90 comments ||
 • 4 hours ago

"Unaambiwa Mahali milioni 5 alafu msichana anakupikia chapati ngumu kuliko maisha".- @mpokicomedyofficial

Muziki Unaongea media on instagram
 • 1.6k likes ||
 • 55 comments ||
 • 5 hours ago

#SportsHQ Unamkumbukaje Diego Milito ambaye leo tunakwenda kukokotoa namba zake kwenye #HisabatiZaMichezo

 • 449 likes ||
 • 6 comments ||
 • 8 hours ago

Yalioandikwa kwenye Magazeti ya Tanzania August 21/2019 . . #kunyamvuanakunyumbulisha #JotoLaAsubuhi

Muziki Unaongea media on instagram
 • 784 likes ||
 • 19 comments ||
 • 16 hours ago

#Lalaby na @johnboscokamili

Muziki Unaongea media on instagram
 • 1.3k likes ||
 • 57 comments ||
 • 19 hours ago

#Genge #OnAir

Muziki Unaongea media on instagram
 • 6.1k likes ||
 • 250 comments ||
 • 19 hours ago

#Esports #SimbaSC

Muziki Unaongea media on instagram
 • 658 likes ||
 • 18 comments ||
 • 20 hours ago

Kurasa zote za michezo ninafunguliwa na @francismhando kwenye #Esports muda huu karibu. #Esports

Muziki Unaongea media on instagram
 • 1.3k likes ||
 • 26 comments ||
 • 21 hours ago

@mpokicomedyofficial #Ubaoni

 • 667 likes ||
 • 17 comments ||
 • 22 hours ago

#Ubaoni #OnAir

Muziki Unaongea media on instagram
 • 501 likes ||
 • 6 comments ||
 • 1 days ago

Kwenye Maisha wako marafiki ambao mlikua mmeshibana na baadae mkawa maadui nini kilitokea? . . Share nasi story yako hapa nini kilitokea tutaisoma kupitia kwenye kipindi chako cha #Uhondo muda huu. Cc. @swebbesantana @sofia_amaan @dinamarious

Muziki Unaongea media on instagram
 • 1.2k likes ||
 • 23 comments ||
 • 1 days ago

Eshima Ohashi - Moja ya madaraja ya kustaajabisha duniani, Linapatikana nchini Japan, Ujenzi wake ulianza rasmi mwaka 1997 na kukamilika mwaka 2004. Umaarufu wake mkubwa unatokana picha zinazopigwa zikionesha mtelemko mkali ambao ukiwa kwenye kilele wakati wa kushuka unaweza kuhisi unatumbukia baharini. #EDigitalTips

Muziki Unaongea media on instagram
 • 1.3k likes ||
 • 33 comments ||
 • 1 days ago

#SportsHQ Tunae Meya wa Kinondoni, Benjamin Sitta ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya KMC akishea nasi mipango ya kuimaliza AS Kigali kwenye mchezo wa marudiano wa kombe la shirikisho barani Afrika .

 • 525 likes ||
 • 9 comments ||
 • 1 days ago

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania August 20, #kunyamvuanakunyumbulisha #JotoLaAsubuhi

Muziki Unaongea media on instagram
 • 7.5k likes ||
 • 376 comments ||
 • 1 days ago

Wivu uwe na mipaka kidogo 😂😂😂 #Tuvituvitu

 • 559 likes ||
 • 21 comments ||
 • 1 days ago

Wazee wa #Genge @officiallyfido x @samio_love wanasubiri comment yako wainadi #Gengeni muda huu.

Muziki Unaongea media on instagram
 • 2.5k likes ||
 • 106 comments ||
 • 1 days ago

😂😂😂Hii tunaiitaje? #Tuvituvitu

Loading...